Matthew 24:29

29 a“Mara baada ya dhiki ya siku zile, “ ‘jua litatiwa giza,
nao mwezi hautatoa nuru yake;
nazo nyota zitaanguka kutoka angani,
na nguvu za anga zitatikisika.’

Copyright information for SwhKC